Kimat7

Dedan Kimathi

Kuhani wa Dini ya Weusi

Katika Surat-Al – Rum (Ama Sura ya Warumi ama Waromani) ambayo ni Sura ya 30 ya Kitabu cha Quran yenye Aya 60 Bwana Muhamad Kiongozi Mahiri wa Dini Ya Kiislamu ‘ Katika Aya ya 36 amesema 36. And when We cause mankind to taste of mercy, they rejoice therein, but when some evil afflicts them because of (evil deeds and sins) that their (own) hands have sent forth, lo! They are in despair! Ama Kwa Tafsiri  Tukiwapa Wanadamu Kuonja Neema, wanafurahia, Lakini wakipata Madhila sababu ya dhambi na udhalimu wa kazi za mikono yao, wana kata Tamaa! Mpende Mchukie Muhammad alikuwa na Hekima ya Ajabu. Leo miaka mingapi imepita tangu kufariki kwake ? maneno yake yanatimia. Tunaishi katika kizazi chenye hofu na mashaka. Tumekata tamaa. Sura hiyo kimsingi Muhamad amewakemea Warumi na Dini yao ya Utatu, akisisitiza Mungu  hana Mshiriki. Sasa hii sio Insha ya Kidini, samahani, ni mchepuko tu. Mimi namzungumzia Bob Marley na Wimbo wake wa Vita. Aliopata uvuvio wake kutoka ile hotuba maarufu ya Mfalme Haile Sellassie wa Ethiopia akihutubia Mkutano Mkuu wa Umoja Wa Mataifa mwaka 1963. Ikumbukwe kuwa Miongoni mwa Marasta huyu ndugu alikuwa Mungu.

jomo and Haille

Kenyata Jomo and Sellasie Haile

 Kama ifuatavyo sasa “War” Mpaka filosofia ambayo inadai kwamba mtu fulani sababu ya rangi ya ngozi yake   ndio bora na yule mwenye ngozi tofauti  na yake ni duni imeondolewa kabisa Kutakuwa na Vita Tu Vita Havita Koma VITA TU Mpaka ambapo hakutakuwa na Matabaka Eti Binadamu Daraja La Kwanza la pili na Tatu (Ama Mtu Mweusi) HAHAH MATABAKA MPAKA UBAGUZI UTAPO KOMA vita havitakoma Nasema Vita. Mpaka kila binadamu akipata Haki yake Duniani Bila Kujali Rangi Ya Ngozi yake Ni Vita Tu Mpaka Siku Hiyo Ndoto Ya Amani Uraia wa Dunia Na Utawala Adilifu Utabakia njozi tu inayongojewa Katu haitotimia Sasa kila mahali vita. Na Mpaka Tawala hizi za Kiharamia Zenye Kutawala Angola na Msumbiji Na Africa Kusini Kuwatia Binadamu vifungoni Zimeodolewa Kutakuwa Vita Tu Vita Haitokoma Mashariki, Magaharibi Kusini na KASKAZINI NI VITA TU tETESI ZA VITA Bara la Watu Weusi halitaijua Amani Lakini Weusi tutapigana Kama Ikibidi NA TUNA IMANI KUSHINDA VITA HII ya WEMA DHIDI YA UOVU Sasa mawazo yangu mimi, ni pamoja na uhuru wa Ibada, filosofia yenye kulazimisha watu kuabudu kwa utaratibu fulani pia ni yakishetani, sasa wanauita ugaidi ni vita tu! Sio Uyahudi wala Ukristo wala Uislamu suluhisho. Muheshimiwa aliisoma vizuri Biblia, eti wanadai alikuwa hajui kusoma! Mafundisho ya UYAHUDI NA BIBLIA zilikuwa ngazi zake za kupandia, Alivyomaliza kupanda sasa anazibomoa! Sijui alipanga kushuka vipi? Mpaka tutakapo rudi mwanzo ustaarabu ulikoanzia ndio amani itapatikana, Na dini hizi Tatu kutubia madhambi zilizofanya kwa mtu mweusi, mweusi kurudia imani ya Babu zake,ndio amani itapatikana* ASANTENI SANA Mwaikoma.G.A 2010 MANABII

Advertisements

2 thoughts on “NASAHA YA BOB MARLEY: VITA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s