Na G. A. Mwaikoma

wako kwetu bwana

Siye hatuko kwao

Wana haki zote hapa

Lakini bado wanatudharau

Wamepata maisha yao hapa

Kwenye Tanzania ya amani

Watanzania hata hawamjui mgeni ni nani

Pia hawakumbuki wanauliwa ugenini?

Bado hawajui kwao ni wapi!

Enyi waTanzania

Ninani aliowarogeni?

Advertisements

One thought on “WAKO KWETU

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s